Waliokula Mali za Vyama vya Ushirika Wazirejeshe
Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini, Dkt. Titus Kamani ametoa siku kumi na nne (14) kwa watu waliochukua mali na fedha za vyama vya ushirika kuzirejesha katika vyama hivyo la sivyo…
Soma Zaidi