Habari na Matangazo

Stakabadhi Ya Ghala Nyenzo Ya Kumkomboa Mkulima

Mfumo wa Stakabadhi ya Ghala umetajwa kuwa ni moja ya nyenzo ya kumsaidia mkulima kupata mauzo mazuri ya Wakulima. Hivyo kumuwezesha Mkulima kufaidika na Kilimo kupitia mfumo wa Ushirika.  Hayo yamesemwa…

Soma Zaidi

TEHAMA Kuongeza Ufanisi Katika Sekta Ya Ushirika

Ukusanyaji wa mapato kutoka kwenye Vyama vya Ushirika unaendelea kuimarika kwa kiasi kubwa kupitia matumizi ya Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) hususan usahihi wa makusanyo, uwekaji wa…

Soma Zaidi

Hakikisheni Wakulima Wa Kahawa Wanapata Bei Nzuri Kupitia Ushirika - Naibu Waziri Bashe

Naibu Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali imedhamiria kuhakikisha kuwa Mkulima wa Kahawa  anapata bei nzuri itakayomnufaisha kupitia mfumo wa Ushirika. Bei ambayo itakuwa ni…

Soma Zaidi

Ushirika Ujikite Katika Uchumi Wa Viwanda - Katibu Mkuu Kilimo

Vyama vya Ushirika wa mazao vimetakiwa kuchakata mazao yanayozalishwa na wakulima kwa kuongeza mnyororo wa thamani kupitia viwanda vya Ushirika ili kumnufaisha mkulima kwa kumwezesha kupata bei nzuri ya mazao…

Soma Zaidi

Naibu Waziri Bashe Ataka Ushirika Kujiendesha Kibiashara

Tume ya Maendeleo ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeagizwa kuhakisha kuwa Vyama vya Ushirika vinajiendesha kibiashara kwa kutumia misingi thabiti ya Ushirika pamoja na matumizi mazuri ya rasilimali…

Soma Zaidi

Ushirika mbinu bora ya kupambana na umasikini– DC MAHONGO

Ushirika ni kati ya njia thabiti zinazoweza kutumika katika kupambana na umaskini nchini hususan kwa wananchi wenye kipato cha chini kwa kupunguza changamoto za kiuchumi. Hayo yamesemwa leo Aprili 28, 2020 na…

Soma Zaidi

Warajis Wasaidizi Msifanye Kazi za Utendaji Katika Vyama Vya Ushirika – Dkt. Ndiege

Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege, amewataka Warajis Wasaidizi wa Vyama vya Ushirika wa mikoa kutokufanya kazi za…

Soma Zaidi