Habari na Matangazo

Katibu Mkuu Kilimo aipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, ameipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kuendelea kuimarisha na kuendeleza Sekta ya Ushirika nchini katika Nyanja za Kilimo, ufugaji, uvuvi,…

Soma Zaidi

Tume ya Ushirika yafanya kikao cha pamoja na TAKUKURU

Tume ya Maendeleo Ushirika Tanzania (TCDC) imekutana katika Kikao cha Pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuimarisha usimamizi na maendeleo ya Vyama vya Ushirika…

Soma Zaidi

Ushirika kudhibiti mabadiliko ya tabia nchi

Wanaushirika wametakiwa kuchukua hatua dhidi ya uharibifu wa mazingira nchini ili kuhakikisha kuwa kunakuwa na uendelevu wa shughuli mbalimbali za kiuchumi katika Vyama vya Ushirika. Hayo yamesemwa na Katibu…

Soma Zaidi
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dkt. Benson Ndiege akizindua Mfumo wa Kieletroniki wa kutoa leseni katika SACCOS

Tume ya Maendeleo ya Ushirika kusogeza karibu huduma kwa wananchi kieletroniki

Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) imeongeza udhibiti na usimamizi wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) kwa kuhakikisha Vyama vyote vinajisajiliwa kwa kutumia mifumo ya TEHAMA inayopatikana…

Soma Zaidi
Tumeanzisha mfumo wa stakabadhi gharani ili kumkomboa mkulima – RC Homera

Tumeanzisha mfumo wa stakabadhi gharani ili kumkomboa mkulima – RC Homera

TUMEANZISHA MFUMO WA STAKABADHI GHARANI ILI KUMKOMBOA MKULIMA – RC HOMERA Mpanda, Katavi Katika kumkokomboa mkulima, mkoa wa Katavi umeanzisha na kusimamia ipasavyo Mfumo wa Stakabadhi za Ghala ili…

Soma Zaidi

Tutumie Ushirika Kupata Masoko na Bei za Uhakika – Naibu Waziri Bashe

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe ametoa wito kwa Wakulima nchini kutumia Ushirika hususan Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwa lengo la kupata masoko na bei za uhakika. Wito huo umetolewa wakati wa…

Soma Zaidi

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Kuja na Mikakati ya Kukabiliana na Upungufu wa Sukari Nchini

Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini imeweka wazi azma yake ya kusimamia mikakati kazi ya uvunaji wa miwa kwa msimu huu mpya wa mwaka 2020. Hii ikiwa ni hatua ya kukabiliana na upungufu wa bidhaa ya sukari…

Soma Zaidi

Wakulima Wahamasishwa Kuweka Akiba

Wakulima wa Vyama vya Ushirika nchini wamepewa wito wa kuboresha maisha yao kwa kuweka akiba baada ya msimu wa mavuno ya mazao yao ili akiba hizo ziwasaidie hususan wanapopata changamoto mbalimbali za…

Soma Zaidi