Habari na Matangazo

Call For Abstracts

Call For Abstracts

Soma Zaidi

Taarifa Kwa Umma

VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO (SACCOS) VYATAKIWA KUFUNGA HESABU KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA DESEMBA 31, 2020   Mwaka wa Fedha wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) unaanzia Mwezi…

Soma Zaidi

Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, amewataka Wanaushirika kurejesha hadhi na heshima ya Ushirika nchini.

SERIKALI YADHAMIRIA KUEREJESHA HESHIMA NA HADHI YA USHIRIKA NCHINI. Dodoma, 06/01/2021 Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, amewataka Wanaushirika kurejesha hadhi na heshima ya Ushirika nchini kwa kujenga…

Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya akimkabidhi Kompyuta Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya akimkabidhi Kompyuta Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege.

COOPERATIVE DEVELOPMENT COMMISSION HAS BEEN DELIVERED TO 50 KUMMUTA BY CRDB BANK   The Tanzania Cooperative Development Commission (TCDC) has been handed over 50 computers by CRDB Bank for accelerating…

Soma Zaidi

Mrajis Afuta Usajili wa Ushirika Tower Joint Enterprise

Mrajis Afuta Usajili wa Ushirika Tower Joint Enterprise Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege ametoa maagizo ya kufutwa kwa Usajili wa Chama cha…

Soma Zaidi

Elimu ya Ushirika Iwafikie Wanachama Wote- Naibu Mrajis

 Elimu ya Ushirika Iwafikie Wanachama Wote- Naibu Mrajis Naibu Mrajis wa Vyama vya Ushirika Nchini, Collins Nyakunga ametoa wito kwa Vyama vya Ushirika kuhakikisha kuwa vinatoa elimu ya Ushirika kwa…

Soma Zaidi

Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Tanzania

Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) tunapenda kuungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, na Watanzania wote katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 59 ya…

Soma Zaidi

Serikali imedhamiria kuimarisha benki ya Ushirika nchini

Serikali imedhamiria kuimarisha benki ya Ushirika nchini   Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuimarisha Benki ya Ushirika Kilimanjaro (Kilimanjaro Cooperative Bank Ltd – KCBL) kwa lengo la…

Soma Zaidi