Hakikisheni Wakulima Wa Kahawa Wanapata Bei Nzuri Kupitia Ushirika - Naibu Waziri Bashe
Naibu Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali imedhamiria kuhakikisha kuwa Mkulima wa Kahawa anapata bei nzuri itakayomnufaisha kupitia mfumo wa Ushirika. Bei ambayo itakuwa ni…
Soma Zaidi