Habari na Matukio

Orodha Ya Vyama Vya Ushirika Vinavyokusudiwa Kufutwa Kwenye Rejista Ya Vyama Vya Ushirika

Mrajis wa Vyama vya Ushirika katika kufanya maboresho ya Daftari la Vyama vya Ushirika amefanya uchambuzi na kuainisha vyama ambavyo havitekelezi majukumu yake ya msingi kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya…

Soma Zaidi

Waziri Hasunga Aagiza Mabadiliko Muhimu Katika Kuimarisha Usimamizi Wa Vyama Vya Ushirika

Waziri wa Kilimo, Mhe. Japhet Hasunga, amemwagiza Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Dkt. Benson Ndiege kufanya tathmini ya utendaji kazi wa…

Soma Zaidi

Serikali Yakusudia Kufuta Vyama Vvya Ushirika 3,436

Serikali kwa kuzingatia matakwa ya Sheria ya Vyama vya Ushirika, Namba 6 ya mwaka 2013, kifungu cha 100 na kanuni ya 26, inakusudia kufuta Vyama vya Ushirika 3,436 ambavyo havitekelezi majukumu yake ya msingi…

Soma Zaidi

Serikali Haitaingilia Vyama ya Ushirika Vinavyofuata Sheria

SERIKALI haitaingilia Vyama vya Ushirika nchini vinavyofuata sheria na taratibu katika uendeshaji wake, isipokuwa pale panapojitokeza ukiukwaji wa Misingi ya Ushirika na panapokuwa na ubadhilifu wa mali za…

Soma Zaidi

Dkt. Kamani Akipongeza Chama cha Ushirika Milambo kwa Ubunifu

Chama Kikuu cha Ushirika cha Milambo kilichosajiliwa tarehe 18 Juni, 2018 kimepongezwa kutokana na mafanikio yaliyopatikana tangu kianzishwe kutokana na ubunifu katika kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja…

Soma Zaidi

Mafanikio Yaliyopatikana Ni Ya Watumishi Wote - Mrajis

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini (TCDC), Bw. Tito Haule, amewapongeza Watumishi wa Tume hiyo kutokana na mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Ushirika…

Soma Zaidi

Waliokula Mali za Vyama vya Ushirika Wazirejeshe

Mwenyekiti wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini,  Dkt. Titus Kamani ametoa siku kumi na nne (14)  kwa watu waliochukua mali na fedha za vyama vya ushirika kuzirejesha katika vyama hivyo la sivyo…

Soma Zaidi