Salamu za Pongezi
Tume ya Maendelo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inapenda kumpongeza Rais, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais. Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Soma ZaidiTume ya Maendelo ya Ushirika Tanzania (TCDC) inapenda kumpongeza Rais, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais. Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Soma ZaidiWanawake wahamasishwa nafasi za uongozi wa Ushirika Wanawake wamepewa wito wa kushiriki katika nafasi za uongozi katika Vyama vya Ushirika hususani Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) nchini pindi nafasi…
Soma ZaidiNaibu Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Husein Bashe amefungua viwanda vya kuchakata Pamba (ginnery) vya Chama Kikuu cha Ushirika katika wilaya ya Chato (CCU) cha mkoani Geita na Chama Kikuu cha Ushirika katika…
Soma ZaidiDC ASHAURI MIKAKATI YA KUIMARISHA NA KUENDELEZA USHIRIKA Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara Mhe. Aziza Mangosongo ametoa wito kwa Viongozi na Watendaji wa Ushirika kushirikiana katika kuhakikisha kuwa…
Soma ZaidiSerikali ina mkakati wa kuendeleza na kuimarisha Ushirika kwa kuanzisha na kufufua viwanda ili kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa Wanaushirika, ambapo Serikali imedhamiria kuona kwamba Vyama vya…
Soma ZaidiMakamu wa Rais, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa wakulima wa mazao mbalimbali nchini kuongeza matumizi ya Mfumo wa Ushirika kwa kutumia Stakabadhi za Ghala ili kupata uhakika wa masoko na bei…
Soma ZaidiKatibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, ameipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kuendelea kuimarisha na kuendeleza Sekta ya Ushirika nchini katika Nyanja za Kilimo, ufugaji, uvuvi,…
Soma ZaidiTume ya Maendeleo Ushirika Tanzania (TCDC) imekutana katika Kikao cha Pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuimarisha usimamizi na maendeleo ya Vyama vya Ushirika…
Soma Zaidi